JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Mabula : Tunatoa onyo kwa wanaopita kuwachafua wenyeviti tuliowateua

Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambae pia ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa MNEC Mhe Dkt Angeline Mabula ametoa onyo kwa watu wasiokitakia mema chama cha mapinduzi kwa kupita katika mitaa na kuanza kuwachafua wagombea wa nafasi ya…

Spika Tulia atembele banda la Tanzania COP29

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema ni wakati sasa umefika kwa Mataifa yanayoendelea kuchukua hatua katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Ametoa kauli hiyo…

Makamu wa Rais anadi fursa za uwekezaji sekta ya Uchumi wa Buluu, Azerbaijan

Na Benny Mwaipaja, Baku, Azerbaijan Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, ameihamasisha sekta binafsi na wadau wengine wa maendeleo wa kimataifa kuchangamkia fursa za uwekezaji zinazopatikana nchini Tanzania katika sekta ya uchumi wa buluu kwa faida za kiuchumi na…

Kuporomoka kwa jengo Kariakoo, mmoja afa, 28 waokolewa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwili mmoja na majeruhi 28 wameopolewa kutoka kwenye kifusi cha jengo lililoporomoka eneo la Kariakoo, Dar es Salaam, mapema leo.  Jitihada za uokoaji zinaendelea huku juhudi zikielekezwa kuwaokoa waliobaki chini ya kifusi hicho. Akizungumza baada…

TARURA Manyara kufungua barabara mpya Km 109

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Manyara ina mpango wa kufungua barabara mpya zenye urefu Km. 109 katika Wilaya ya Mbulu, Simanjiro pamoja na Babati katika mwaka wa fedha 2024/2025. Hayo…