Latest Posts
TASAF yaagiza viongozi halmashauri kusimamia miradi kwa umakini zaidi
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mkurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Shadrack Mziray ameagiza viongozi wa Halmashauri ambazo zinatekeleza miradi mbalimbali ya TASAF ikiwemo ujenzi wa zahanati, stendi pamoja na nyumba za wauguzi kusimamia miradi hiyo ili ifanyike…
Ajali ya boti yaua takribani watu 50 Kongo Mashariki
Takriban watu 50 wamefariki baada ya boti iliyokuwa imewabeba kupinduka katika Ziwa Kivu, mashariki mwa Kongo hii leo.Mashuhuda wameliambia shirika la habari la AP. Idadi kamili ya waliokuwamo kwenye boti hiyo haikufahamika mara moja na kwamba ni watu watu wangapi…
Kim atishia kuisambaratisha Korea Kusini kwa nyuklia
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un leo ametishia kutumia silaha za nyuklia na kuisambaratisha kabisa Korea Kusini iwapo nchi hiyo itamchokoza. Haya ni kulingana na taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari nchini humo. Hii ni baada ya kiongozi wa…
BoT yatoa angalizo kwa watumiaji fedha za kigeni
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma BENKI Kuu ya Tanzania (BOT)imeendelea kupiga marufuku watoa huduma mbalimbali nchini kufanya malipo ya ndani ya nchi kwa kutumia fedha za kigeni ambapo imesema kufanya hivyo ni kosa kisheria. Uamuzi huo unatokana na matarajio ya mfumuko wa…
Waziri Mkuu afunga mkutano mkuu wa kumi wa wadau wa lishe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mtambo wa kuchanganya lishe katika vyakula alipotembelea banda la maonesho la Taasisi ya GAIN Tanzania kabla ya kufunga Mkutano Mkuu wa kumiwa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Oktoba 3,…