Latest Posts
Wanamgambo waua wanajeshi saba kusini magharibi mwa Pakistan
WANAMGAMBO wa kundi linalijiita Jeshi la Ukombozi wa Baluchistan BLA, walivamia kituo cha ukaguzi cha kijeshi kusini magharibi mwa Pakistan na kuua wanajeshi saba. Kwa mujibu wa afisa wa polisi Habib-ur-Rehman shambulizi hilo katika wilaya ya milima ya Kalat, takriban…
Zelensky kumaliza vita kwa diplomasia
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kuwa angetamani vita na Urusi vimalizike mwaka ujao kwa njia za kidiplomasia, hasa wakati nchi zote mbili zikijiandaa kwa Donald Trump kurejea Ikulu. Matarajio ya Trump kurejea madarakani yameibua maswali kuhusu hatma ya mzozo…
RC Chalamila : Tunaendelea kuokoa majeruhi kwa ustadi mkubwa
*Asema toka jana usiku hadi asubuhi ya leo Novemba 17,2024 watu watano (5) wameokolewa na kupelekwa Hospitali -Awatoa hofu wanaosema zoezi linakwenda taratibu asisitiza vifaa vyote vya uokozi vipo lakini kinachofanyika ni ustadi na akili zaidi Mkuu wa Mkoa wa…
Walioou bibi, kumkata titi na sehemu za siri wakamatwa
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia,Tabora JESHI la Polisi Mkoani Tabora linawashikiria watu watatu kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mwanamke aitwaye Sagali Masanja (62) bibi mkazi wa Kijiji cha Mahene Wilaya ya Nzega, kumkata titi na sehemu za siri na…
MSD yakabidhi dawa na vifaa vya dharura ajali ya jengo Kariakoo
Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imekabidhi baadhi ya dawa na vifaa vya dharura kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa ajali ya kuangukiwa na ghorofa Kariakoo, Dar es Salaam. Vifaa hivyo vya dharura vilivyokabidhiwa kwa Mganga Mkuu wa Manispaa ya…