JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Luhemeja: Ni wajibu wa kila mmoja kushiriki katika kuhifadhi mazingira

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema mazingira ni suala mtambuka hivyo ni wajibu wa kila mmoja kushiriki kikamilifu katika kuyahifadhi. Mhandisi Luhemeja amesema hayo wakati akizungumza na Watanzania wanaoshiriki Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama…

Waziri Kombo aagana na Balozi wa Iran

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameagana na Balozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Mhe. Hossein Alvandi Bahineh ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi nchini. Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika…

Baraza la Madiwani Same lamundoa kazini mtumishi kwa tuhuma za kughushu vyeti

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Same Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Same limeazimia kumuondoa kazini Hellen Sige, aliyekuwa Bibi Afya wa Kata ya Hedaru, kwa tuhuma za kugushi vyeti. Uamuzi huo ulifikiwa mwishoni mwa wiki hii katika kikao…

Aweso kuunda tume maalum kufuatilia maji Soni Tanga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Bumbuli Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema ataunda timu maalumu ili kufuatilia hali ya upatikanaji wa huduma ya maji katika eneo la Soni katika Halmashauri ya wilaya ya Bumbuli na baade waanze kuchukua hatua za kukabiliana…

Wanamgambo waua wanajeshi saba kusini magharibi mwa Pakistan

WANAMGAMBO wa kundi linalijiita Jeshi la Ukombozi wa Baluchistan BLA, walivamia kituo cha ukaguzi cha kijeshi kusini magharibi mwa Pakistan na kuua wanajeshi saba. Kwa mujibu wa afisa wa polisi Habib-ur-Rehman shambulizi hilo katika wilaya ya milima ya Kalat, takriban…