Latest Posts
RC Mtaka: Rais Samia ameibeba sekta ya kilimo mabegani mwake katika miaka 4 ya uongozi wake
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameibeba sekta ya kilimo kwa mafanikio makubwa sana katika miaka 4 ya utawala wake kwa kuhamasisha watu wengi zaidi kujihusisha na kilimo…
Rais Mwinyi : Mradi wa EACOP ni kioo cha maendeleo ya sekta ya mafuta Afrika Mashariki
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kati ya Tanzania na Uganda ni moja ya kielelezo kwa nchi za…
Mashambulizi ya Urusi yaua watu 25 Ukraine
TAKRIBAN watu 25 wamefariki nchini Ukraine katika wimbi la hivi punde la mashambulizi ya Urusi, maafisa wa Ukraine wanasema, huku mzozo huo ukiwa hauonyeshi dalili zozote za kurudi nyuma. Shambulio moja katika Mkoa wa Donetsk liliua takriban watu 11 na…
Rais Samia: Tanzania imetekeleza malengo 17 ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG’s)
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema hadi sasa Tanzania imetekeleza Malengo 17 ya Maendeleo Endelevu (SDG’s). Akizungumza katika ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya wanawake Dunia ambapo kitaifa yamefanyika…