Latest Posts
Korti ya Kijeshi Uganda kumshtaki Besigye kwa usaliti
KIZZA Besigye, mwanasiasa mkongwe wa upinzani na hasimu wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni, alitekwa nyara akiwa jijini Nairobi Novemba 2024 na kurejeshwa Uganda alikofunguliwa mashtaka katika mahakama ya kijeshi. Kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, atafikishwa…
Trump kubadili sura ya dunia kuanzia Jumatatu
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jumatatu ya wiki ijayo, Januari 20, 2025 kuanzia saa 6:00 mchana, siku ambayo Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump, ataapishwa kuwa Rais wa 47 wa Marekani, dunia itabadilika na kuwa na sura mpya….
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol aliyefutwa kazi akamatwa
RAIS wa Korea Kusini aliyeachishwa kazi Yoon Suk Yeol amekamatwa, kulingana na mamlaka, na kuweka kihistoria nchini humo. Yoon ambaye anachunguzwa kwa uasi ndiye rais wa kwanza aliye madarakani nchini humo kukamatwa. Baadhi ya wachunguzi waliingia katika makazi ya Yoon…
Jeshi la Ukraine lafanya shambulizi kubwa zaidi Urusi
Ukraine imeshambulia maeneo kadhaa ya Urusi siku ya Jumanne katika kile inachosema ni shambulio lake “kubwa zaidi” hadi sasa. Maghala ya kuhifadhia risasi na viwanda vya kemikali vilishambuliwa katika mikoa kadhaa, baadhi yao ikiwa mamia ya kilomita kutoka mpakani, kulingana…
Tanzania, Japan zajidhatiti kusaidia wakulima nchini
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Japan zimetia saini mkataba wa shilingi bilioni 377 kugharamia utelelezaji wa mradi wa Kilimo na Maendeleo Vijijini (Agriculture and Rural Development Two Step Loan) ambao umekusudiwa kuwanufaisha moja kwa moja wakulima kupitia mikopo midogo midogo. Mkataba…