Latest Posts
Wazanzibar watakiwa kutumia vyoo vya kisasa
Na Haji Mtumwa, JamhuriMedia, Zanzibar Jamii visiwani humu imeaswa kutumia vyoo vya kisasa katika maeneo ya makaazi, Shule na sehemu za kijamii Ili kujikingaa na maradhi yanayoweza kuepukika. Akizungumza mara baada ya kutoa elimu hiyo ya matumizi ya vyoo vya…
RC Serukamba aiunga mkono REA ugawaji mitungi ya gesi 9800 Iringa
📌REA yahamasisha ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba ameunga mkono juhudi za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) za kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia ipatayo 9,800 mkoani humo itakayoendelea…
Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa CHOGM
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi rasmi wa Mkutano wa 27 wa Wakuu wa Nchi na Serikali…
Serikali yatoa akaunti maalum ya kukusanya misaada kwa waathirika Kariakoo
Serikali imesisitiza kuwa michango na misaada yoyote kwa ajili ya kusaidia waathirika wa kuporomoka kwa jengo Kariakoo jijini Dar es Salaam itafanywa kupitia akaunti maalumu ya maafa 9921159801 ambayo ipo katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Katibu Mkuu Ofisi ya…
Takriban watu 34 wameuawa shambulizi la Israel kaskazini mwa Gaza
Mashambulizi ya anga ya Israel kwenye jengo la ghorofa tano la makazi huko Beit Lahia kaskazini mwa Gaza yamesababisha vifo vya takriban watu 34, shirika la ulinzi wa raia la eneo hilo linasema. Shirika hilo, lililonukuliwa na AFP, lilisema wengi…
Waziri Chana akutana na balozi wa Italia nchini
Na Happiness Shayo – Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Giuseppe Sean Coppola ambapo pamoja na mambo mengine wamekubaliana kushirikiana kwenye…