JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tujiepushe na ulevi wa ushindi – Lwaitama

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mjumbe wa bodi ya wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mzee Azavel Lwaitama amewataka wanachama cha chama hicho kuzingatia umoja wao hasa baada ya uchaguzi kumalizika, kwani migogoro ya ndani inaweza…

Msigombanie uongozi kwa ajili ya ubunge na udiwani

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewataka wanachama wake kuhakikisha chama chao wanakwenda kujibu maswali ya kijamii katika maeneo wanayoishi, na si kila siku kujibu maswali ya kisiasa. Mbowe…

Mgeja :Tunawatakia heri wana-CCM kumpata Makamu Mwenyekiti

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja, amewatakia heri wana-CCM katika mkutano mkuu wa kumpata kushika mikoba ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti, Abdulahman Kinana. Akizungumza leo Januari 16,…

CHAN 2024; Wasemavyo wadau wa soka kuhusu droo, kuahirishwa kwa michuano

Shirikisho la soka barani Afrika CAF limetangaza droo ya michuano ya CHAN inayoandaliwa mwaka huu kwa ushirikiano wa nchi ya Kenya,Tanzania na Uganda. Droo hiI ilitangazwa siku moja tu baada ya michuano hiyo kuahirishwa kutoka mwezi Februari hadi Agosti mwaka…

Pazia la watia nia ACT Wazalendo lafunguliwa

Chama cha ACT Wazalendo kinapenda kuutangazia umma kuwa mchakato wa ndani ya Chama wa wanachama kujitokeza na kutangaza nia ya kugombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu 2025 umefunguliwa rasmi kuanzia tarehe 15 Januari, 2025. Hatua hii ni utekelezaji wa agizo…

Dorothy Semu kugombea urais kupitia ACT- Wazalendo

Na Mwandisi Wetu, JamhuriMediaa, Dar es Salaam Kiongozi wa Chama cha ACT –Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama katika uchaguzi utakaofanyika mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari…