Latest Posts
Watu 10 wafariki dunia baada ya mgodi kuporomoka Zambia
Takriban watu 10 wamekufa na idadi ya wengine isiyojulikana hawajulikani walipo baada ya mgodi kuporomoka katikati mwa Zambia. Mamlaka nchini Zambia imesema shughuli ya uokoaji inaendelea japo haijabainika idadi kamili ya wachimbaji madini waliofukiwa chini ya ardhi. Mgodi huo uliporomoka…
Taye Selessie achaguliwa kuwa Rais mpya Ethiopia
Mabunge mawili ya Bunge la Ethiopia yamemchagua Taye Atske Selassie, Mwanadiplomasia kuwa Rais wa nchi hiyo. Taye Atske Selassie ameapishwa Oktoba 07, 2024 na kukabidhiwa katiba na Rais wa nchi anayemaliza muda wake. Taye anachukua mikoba ya Rais wa kwanza…
Tanzania ina mkakati madhubuti utakaofanikisha matumizi ya nishati safi ya kupikia – Balozi Chana
📌Atoa wito kwa Watanzania kuyaishi maono ya Rais Samia Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali imeandaa mkakati madhubuti wa Nishati Safi ya Kupikia wenye lengo kuwaondoa watanzania katika adha itokanayo na matumizi ya nishati isiyo…
Ofisi ya Msajili wa Hazina yapongezwa kwa mafunzo ya watendaji wa taasisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Mipango na Uwekezaji imeipongeza Ofisi ya Msajili wa Hazina na Taasisi ya Uongozi kwa kuandaa mafunzo elekezi ya siku tatu kwa watendaji wakuu wapya wa taasisi za umma, yenye…
Wizara za Maliasili Tanzania, Finland kushirikiana maboresho sekta ya misitu
Na Mwandishi Wetu, Helsinki, Finland Wizara ya Maliasili na Utalii ya Tanzania na Wizara ya Kilimo na Misitu ya nchini Finland zinakamilisha mradi mpya wa kuboresha sekta ya misitu ili kuipa thamani sekta hiyo kuwa ya kibiashara zaidi kutokana na…
Rushwa si sehemu ya utamaduni wa Mtanzania
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma TAASISI isiyo ya kiserikali ya Sauti ya wapinga rushwa ya “Anti Corruption Voices” ya Jijini hapa imesema licha ya juhudi zinazofanywa na Serikali kuipinga rushwa bado kuna haja ya kuendelea kuelimisha Jamii namna ya kuepukana…