JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali kuanzisha mfuko wa nishati safi ya kupikia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali inaendelea na ukamilishaji wa taratibu za kuanzisha Mfuko wa Nishati safi ya kupikia ili kuweka ruzuku itakayowawezesha wananchi wa kipato cha chini kumudu bei ya gesi. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano…

Rais Azali: Comoro kushirikiana na Tanzania katika sekta ya kimkakati

Na Mwandishi Wetu Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Visiwa vya Comoro Mheshimiwa Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazumgumzo na Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro Mheshimiwa Azali Assoumani tarehe 16 Januari, 2025, Ikulumjini Moroni. …

NMB yawa Taasisi ya Kwanza ya Kitanzania kutambuliwa kama Mwajiri Kinara na Top Employers

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BENKI ya NMB imekuwa Taasisi ya Kwanza ya Kitanzania kupata ithibati ya kuwa Mwajiri Kinara Tanzania kwa Mwaka 2025, inayotolewa na taasisi bobevu na mahiri ya masuala ya rasilimali watu ya Top Employers…

Wachimbaji wawili wa dhahabu wafariki Bariadi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Simiyu Wachimbaji wadogo wawili katika mgodi wa dhahabu Ikanabushu namba mbili ulioko katika Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu wamekufa baada ya kufukiwa na shimo lililoporomoka wakiendelea na uchimbaji. Tukio hilo ni la usiku wa kuamkia Januari 15,…

Makosa ya udhalilishaji kijinsia yapungua Zanzibar

Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP ZUBERI CHEMBERA amesema Makosa dhidi ya binadamu yamepungua ambapo yameripotiwa jumla ya makosa 1,116 katika Vituo vya Polisi Zanzibar katika kipindi cha Januari hadi Desemba, 2024. Ikilinganishwa…