Latest Posts
Kwenye uchaguzi wa BAVICHA rushwa ilikuwepo -Wakili Mahinyila
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Baraza la vijana la chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) taifa, Wakili Deogratius Mahinyila, amekiri kuwa uchaguzi wa baraza lao ulitawaliwa na rushwa. Wakili Mahinyila ameyasema hayo wakati akitoa wito kwa…
Lema amjibu Wenje, amuita muongo
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema, amejitokeza hadharani kutoa ufafanuzi kuhusu tuhuma dhidi yake zilizotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje kuhusiana…
UNCDF yataka jamii kuelimishwa zaidi matumizi ya nishati safi
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Mitaji na Uwekezaji (UNCDF Tanzania) kwa kushirikiana na wadau wa Nishati Safi limetaka kuendelea kutolewa elimu ya matumizi ya nishati safi kwa jamii, ili kupunguza athari mbalimbali ikiwemo ukataji miti unaosababisha uharibifu wa mazingira….
Vifo Gaza vyafikia 77 kufuatia mashambulizi ya Israel
Idadi ya vifo kutokana na mashambulizi ya angani ya Israel huko Gaza imefikia 77, saa chache baada ya kutangazwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano na kuwaachia mateka. Wizara ya Afya ya Gaza imesema watu 81 wameuawa katika kipindi cha saa…
NCC yahimiza ujenzi wa majengo salama na yanayozingatia afya ya watumiaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) linaendesha zoezi la kufanya mapitio ya rasimu ya kanuni za majenzi (Building Codes) na maoni yaliyotolewa na Benki ya Dunia (WB) kuhusu kanuni hizo. Zoezi hili la wiki mbili…
Trump atafuta njia ya kuzuia kufungwa kwa Tik Tok
Rais mteule wa Marekani Donald Trump atatafuta njia ya kuzuia kufungwa kwa TikTok kabla ya marufuku dhidi ya programu hiyo kuanza kutekelezwa wikendi hii, mshauri wake ajaye kuhusu usalama wa taifa amesema. Mbunge Mike Waltz wa Florida, alisema Trump ataingilia…