Latest Posts
Kagame ailaani Jumuiya ya Kimataifa kutilia shaka Rwanda
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ameilaani jamii ya kimataifa inayokosoa demokrasia nchini Rwanda, akisema inashindwa kuelewa ukweli wa hali halisi. Akizungumza kuhusu mzozo unaoendelea kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Rwanda, Rais Kagame ameonyesha wasiwasi kuhusu shutuma…
Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu kuelekea mkutano mkuu maalumu wa CCM
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo wanaanza kikao chao cha siku mbili ambacho pamoja na mambo mengine watakupiga kura ya kujaza nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara. Nafasi hiyo iliachwa wazi na Abdulrahman…
Shirikisho la Waandishi wa habari Afrika Mashariki laanzishwa kutetea haki za wanahabari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigali Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki (FEAJ) limeanzishwa ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi katika vyombo Afrika Mashariki na kuchagua viongozi wapya. Shirikisho hilo limeanzishwa na viongozi wa vyama vya vya…
TLSB: Serikali mwaka huu itatenga fedha nyingi za ununuzi wa vitabu vya ndani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI katika mwaka huu wa fedha 2025/2026 imetenga bajeti kubwa ya ununuzi wa vitabu vya ndani kama mkakati wa kuhamasisha waandishi na wachapishaji wa vitabu katika kukuza maarifa. Hayo yalisemwa jana jijini Dar…