Latest Posts
Mtoto aliyetekwa anasuliwa kwa mtekaji akiwa hai na afya njema
Na Magrethy Katengu,JamhuriMediaDar es Salaam JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanikiwa kumnasua mtoto wa kiume wa miaka wa miaka 8 anayesoma shule ya Msingi Mbezi Ubungo Dar es Salaam aliyetekwa Machi 6 , 2025 na Stanley…
Rais Samia : Tanzania ni msimamizi Mpango wa Nishati Safi Afrika
📌Asema Ajenda ya Nishati Safi ni ajenda ya Nchi hivyo tunaisimamia Afrika. 📌Nishati ni Mpango wa Maendeleo endelevu 📌Umeme umesambazwa Vijiji vyote nchini 📍Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania ni Msimamizi…
TAWA na Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Morogoro
📍Katika kuadhimisha Kilele cha Siku ya Kimataifa ya wanawake Machi 08, 2025, wanawake shupavu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA pia walikuwepo katika mji wa Ifakara, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro kuungana na maelfu ya wanawake…