Latest Posts
TikTok yarejesha huduma zake Marekani baada ya ahadi ya Trump
TikTok imerejesha huduma zake kwa watumiaji wake milioni 170 nchini Marekani baada ya Rais Mteule Donald Trump kusema atatoa agizo la kuipa programu hiyo ahueni atakapoingia madarakani rasmi hii leo. Jumamosi jioni, programu hiyo inayomilikiwa na Wachina ilisitisha huduma zake…
Jafo aagiza jengo la Metrolojia CBE likamilike kwa wakati
Na Mwandishi Wetu JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo amemwagiza mkandarasi kampuni ya LI JUN Construction ya China anayejenga jengo la Metrolojia la Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kukamilisha kwa wakati na kwa ubora…
Trump aahidi kuwazuia wahamiaji kuingia Marekani
Donald Trump ameahidi kuchukua hatua kadhaa za kuzuia kile alichokiita “kuanguka kwa Marekani” mara tu atakapoapishwa rasmi kama rais wa nchi hiyo Jumatatu. Akiwahutubia wafuasi wake walioujaza uwanja wa michezo wa One Sports Arena huko Washington usiku wa kuamkia Jumatatu…
Uhusiano baina ya Tanzania, Czech kung’ara
Uhusiano wa kiuchumi baina ya mataifa umeelezwa kuwa ndio uhusiano imara na bora zaidi ukilinganisha na nyanja nyingine za uhusiano duniani kwa sasa. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo…
Rais Samia, Mwinyi mitano tena
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Taifa wamempitisha Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Rais wa Tanzania, kuwania nafasi hiyo kwa muhula mwingine katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Pia mkutano huo umempitisha…
Simba njia nyeupe
SIMBA imeendelea kuthibitisha ni somo katika michuano ya kimaaifa baada ya leo kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0 mchezo wa Kombe la Shirikisho Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Matokeo hayo yameifanya Simba ambayo tayari ilishafuzu robo fainali,…