Latest Posts
Dk Mpango atoa wito kwa majaji, mahakimu wanawake kutofumbia macho vitendo vya ukatili
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha MAKAMU wa Rais Dkt. Philipo Mpango ametoa wito kwa Majaji na Mahakimu wanawake nchini kutofumbia macho vitendo vya ukatili kwani wapo wanawake, watoto na wanaume wanaopitia vitendo vya ukatili wa kijinsia au kimwili lakini hawatoi…
Mikoa sita kunufaika na msaada wa kisheria wa mama Samia
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema licha ya elimu inayotolewa kwa wananchi kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria, bado kuna changamoto za uelewa wa kisheria katika jamii ikiwemo kwenye ukatili wa kijinsia,migogoro ya ardhi, ndoa na ardhi. Waziri wa Katiba…
Polisi Pwani wamkamata aliyesambaza picha chafu za utupu akihusisha shule ya Baobab
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshilia mtuhumiwa mmoja aliyetengeneza na kusambaza picha chafu za utupu, akiziunganisha na picha mbalimbali za Shule ya Baobab iliyopo mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishina Msaidizi…
Wamuua ndugu yao na kumfukia kwenye shimo nyumbani kwake
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili Fredy Rajab Chaula na Bashiru Richard Chaula kwa tuhuma za kula njama ya mauaji ya Regina Rajab Chaula (62) mkazi wa…