Latest Posts
Bashungwa : Nia ya Serikali kuifungua Bagamoyo kupitia sekta ya ujenzi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka msisitizo katika kufungua uchumi wa mji wa kitalii wa Bagamoyo kwa kuboresha miundombinu ya barabara, ikiwemo ujio wa mradi wa barabara…
Aziz Ki na Ntibazonkiza uso kwa uso
Nahodha wa timu ya taifa ya Burundi, Saidi Ntibazonkiza anatarajia kukiongoza Kikosi cha Burundi Intamba Murugamba katika kusaka alama tatu muhimu dhidi ya Burkina Faso katika kusaka tiketi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco. Kwa upande mwingine, Aziz KI…
Kila la kheri Taifa Stars
Na Isri Mohamed Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) leo saa moja usiku itashuka dimbani katika uwanja wa Stade Des Martyrs uliopo mjini Kinshasa kuumana na timu ya Taifa ya DR Congo wakiwania tiketi ya kufuzu Afcon mwaka 2025,…
Msimu wa 25 wa maonesho ya Tiba yazinduliwa rasmi Dar
Na Lookman Miraji Msimu wa 25 wa maonyesho ya tiba yamezinduliwa rasmi hapo jana jumanne ya oktoba 9 katika ukumbi wa diamond jubilee ulioko upanga, Dar es salaam. Maonyesho hayo ambayo hufanyika kila mwaka ambapo huandaliwa na kampuni expo kwa…
Waogeleaji 70 wenye mahitaji maalum kuchuana Oktoba 12
Chama cha mchezo wa kuogelea kwa waogeleaji wenye mahitaji maalumu (Tanzania Para Swimming Association/ TPSA) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wanategemea kuendesha mashindano ya pili ya kitaifa ya kuibua vipaji vya waogeleaji wenye mahitaji maalumu. Mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika jumamosi…
Mtoto aliyepotea msituni siku 26 apatikana akiwa hai
Na Isri Mohamed Mwanafunzi Joel Malick, wa kidato Cha pili katika Shule ya Sekondari Bagara iliyopo mkoani Manyara aliyepotea katika mlima wa Kwaraa walipokwenda kufanya utalii wa ndani pamoja na masomo kwa vitendo, amepatikana akiwa amedhoofika huku mwili ukiwa na…