JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wasira awashukia waliopora ardhi ya vijiji

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wassira, ameiagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kuhakikisha ardhi ya vijiji iliyoporwa kinyume cha sheria, inarudishwa kwa wananchi. Wasira alitoa maagizo hayo Januari 23, 2025 jijini Dodoma,…

Zaidi ya wanawake 600 kutoka mikoa saba kujengewa uwezo masuala ya uongozi

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Zaidi ya wanawake mia sita kutoka mikoa saba wanatarajiwa kujengewa uwezo kuhusu maswala ya uongozi na ushiriki wa wanawake katika kufanya maamuzi . Hayo yamesemwa mkoani Arusha na mwezeshaji kutoka idara ya sayansi ya siasa…

TMA yatoa utabiri wa msimu wa mvua za masika 2025

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa mwelekeo wa mvua za msimu wa Masika Machi hadi Mei 2025 kwa maeneo yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka. Akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 23, 2025 jijini Dar es Salaam…

Wakazi zaidi ya 1,000 Mpiji Magoe kunufaika na huduma ya majisafi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa maji Mpiji Magoe katika kata ya Mbezi Wilayani Ubungo wenye lengo la kutatua adha ya maji…

Mitaala 21 ya TEHAMA vyuoni yahakikiwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma KATIKA kuhakikisha elimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) inatolewa kwa viwango vya kisasa, Tume ya TEHAMA nchini imehakiki mitaala 21 katika vyuo mbalimbali nchini. Uhakiki huo, kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume…