Latest Posts
Jaji Mkuu Kenya kuunda jopo la majaji kusikiza kesi ya kupinga kuondolewa madarakani kwa Gachagua
Jaji Lawrence Mugambi amepeleka kesi ya kupinga kutimuliwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa Jaji Mkuu Martha Koome ili kuunda jopo la majaji litakalosikiza na kuamua suala hilo. Katika uamuzi wake wa Ijumaa asubuhi, Jaji Mugambi alisema ombi hilo linaibua…
Milioni 1.2 kuandikishwa Daftari la Wapiga Kura Pwani – RC Kunenge
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkoa wa Pwani unatarajia kuandikisha zaidi ya watu milioni 1.2 kwenye Daftari la Wapiga Kura, zoezi ambalo limeanza rasmi Oktoba 11 na linatarajiwa kukamilika Oktoba 20 mwaka huu. Kwa mujibu wa mkoa huo ,zoezi hilo…
Dk Biteko aongoza wananchi Bukombe kujiandikisha Daftari la Mpiga Kura
📌Awahimiza Kujitokeza kwa Wingi Kujiandikisha 📌 Awataka Kutumia Haki ya Kikatiba kuchagua Viongozi Wao Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa…
ACT-Wazalendo walalamikia utaratibu wa uwazi mchakato wa Uchaguzi Serikali ya Mtaa
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam Wakati Daftari la Kudumu la Kujiandikisha la Kupiga kura zoezi likianza Oktoba 11, 2024 Chama cha ACT – Wazalendo kimesema kuna baadhi ya mambo hayako sawa hivyo wameiomba TAMISEMI kuwa na uwazi, uadilifu na mfumo…
UWT ipo na Rais Samia uhamasishaji matumizi ya nishati safi ya kupikia – Chatanda
📌Nia ni watanzania wengi zaidi watumie nishati safi ya kupikia 📌Asema UWT itaendelea kuishauri Serikali uwepo ya mitungi ya gesi ya gharama nafuu zaidi 📌 Wanawake na watoto watajwa kuwa waathirika wakubwa matumizi ya nishati isiyo safi Mwenyekitiwa Jumuiya ya…
Mjumbe Halmashauri Kuu UMD, Gombo awashauri wananchi kujiandikisha na kushiriki uchaguzi Serikali ya Mtaa
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea. Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa wa chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Gombo Samandito amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Kudumu na kushiriki kikamilifu uchaguzi wa Serikali za Mitaa akisisitiza umuhimu…