Latest Posts
Baada ya kumaliza kazi ya kupeleka umeme vijijini sasa kasi inahamia vitongojini
📌 Asema upelekaji umeme vitongojini umefikia asilimia 52.3 📌 Asisitiza umeme kufika maeneo ya uchimbaji madini Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kuwa hadi kufikia Januari, 2025, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imekamilisha upelekaji wa umeme…
Waziri Chana asisitiza ajenda ya kulinda wananchi dhidi ya wanyamapori wakali
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezielekeza halmashauri zote nchini kuchukua jukumu la kulinda wananchi dhidi ya wanyamapori wakali na waharibifu kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii na taasisi…
Wizara ya Afya Somalia yaichagua Tanzania kupitia MSD kushirikiana kwenye ugavi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wizara ya Afya nchini Somalia imeichagua Tanzania kupitia Bohari ya Dawa (MSD) kushirikiana kwenye masuala mbalimbali yanayohusu mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya kwa kubadilishana uzoefu katika maeneo ya mifumo, ununuzi, usambazaji…
Trump akiri kutokuwepo kwa amani ya kudumu Israel, Hamas
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema hana uhakika na kuwepo kwa amani ya kudumu kati ya Israel na Hamas licha ya kuwa sehemu ya mpango wa kusitisha mapigano uliowezesha kuachiwa kwa mateka ambapo akizungumza kabla ya mkutano wake na Waziri…
Timu ya wanasheria wa Samia yatoa elimu ya kisheria Mpanda
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mpanda Timu ya Wataalam ya kampeni ya msaada wa kisheria wa mama Samia Legal Aid (MSLAC) ikiongozwa na Salome Mwakalonge ambaye ni Mratibu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria imeendelea kutoa elimu ya kisheria kwa Wananchi…
M23 watangaza kusitisha mapigano kupisha misaada ya kiutu
WAASI wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda wametangaza usitishaji wa mapigano kuanzia Jumanne huko mashariki mwa Kongo kwasababu za kiutu. Haya yanafuatia miito ya njia salama ya misaada kutolewa kwa maelfu ya watu walioachwa bila makao. Tangazo hilo la…