JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Haiti : Marekani yataka kikosi cha Kenya kugeuzwa kuwa cha walinda amani wa UN

Nchi ya Marekani, sasa inataka polisi wa Kenya waliotumwa nchini Haiti kwenda kusaidia idara za usalama za nchi hiyo kukabiliana na makundi yenye silaha, kigeuzwe na kuwa kikosi kamili cha kulinda Amani cha umoja wa Mataifa. Pendekezo hili licha ya…

Waziri Mkuu Mali afutwa kazi kwa kuukosoa utawala wa kijeshi

Mkuu wa kijeshi wa Mali Kanali Assimi Goita amemfuta kazi Waziri Mkuu wa kiraia Choguel Kokalla Maiga na serikali yake. Hii ni siku chache tu baada ya Maiga kufanya ukosoaji wa nadra wa watawala wa kijeshi. Amri iliyotolewa na Kanali…

Ukraine yaishambulia Urusi na makombora ya Uingereza

Ukraine imeripotiwa kurusha kwenye maeneo ya ndani ya Urusi makombora ya masafa marefu aina ya Storm Shadow yaliyotengenezwa na Uingereza. Hii ni licha ya Urusi kuendelea kuonya dhidi ya hatua ya aina hiyo. Msemaji wa Waziri Mkuu wa Uingereza Keir…

DED Mji Kibaha akutana na wamiliki na wafanyabiashara vituo vya mafuta

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha ,Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufanyabiashara kihalali na kulipa Kodi ya Serikali kwa wakati. “Nawasihi sana,nipeni ushirikiano ili sote tukishirikiana…

Tanzania yashika nafasi ya tatu uzalishaji madini ya Kinywe ‘Graphite’ Afrika

Na Magrethy Katengu,JamhuriMediaDar es Salaam Tanzania Miongoni mwa Nchi kinara kwa uzalishaji Madini ya Kinywe(Graphite) Afrika inashika nafasi ya 3 ambapo huzalisha kwa asilimia 0.64 kwa mahitaji yote Duniani nafasi ya pili ikifutiwa na Msumbiji 10% huku nafasi ya kwanza…

Dk Biteko ainadi CCM Mara

๐Ÿ“Œ Asema CCM Inaweza Kazi, Ipewe Kura ๐Ÿ“ŒRais Samia Angโ€™ara Miradi ya Maendeleo ๐Ÿ“Œ Wabunge Waeleza Mafanikio ya CCM Mara ๐Ÿ“Œ Wananyamongo Waahidi Ushindi CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha…