JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

REA yawahakikishia upatikanaji mitungi ya gesi kilo sita nchini

📌Mitungi ya gesi zaidi ya 13,000 kusambazwa Songwe 📌Kila wilaya kupatiwa mitungi ya gesi 3,255 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited ambaye atahudumia wilaya zilizopo ndani ya Mkoa wa Songwe…

Waziri Mavunde awakaribisha wawekezaji wa madini kutoka Finland kuwekeza nchini Tanzania

▪️Ampongeza Rais Samia kwa kuboresha mazingira ya Biashara nchini ▪️Wavutiwa na uwepo wa Rasilimali madini za kutosha ▪️Finland yaiahidi Tanzania ushirikiano kwenye utafiti wa madini 📍 Dar es Salaam Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amewakaribisha jumuiya ya wa Wafanyabiashara…

Bilioni saba kumtua mama ndoo kichwani wilayani Mafia

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Serikali imewekeza zaidi ya sh. bilioni saba katika miradi ya maji wilayani Mafia, miradi ambayo inatekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA ili kupunguza kero ya ukosefu wa maji safi na…

DAWASA taasisi ya nfano utekelezaji maagizo ya viongozi -DC Bulembo

Ni utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu kufikisha Majisafi Kigamboni Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKUU wa Wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kutekeleza kwa wakati…

Nape awataka wagombea kufanya kampeni zenye tija

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Nape Moses Nnauye amewataka wagombea wa nafasi ya mbalimbali kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa kufanya kampeni zenye tija na kuchochea maendeleo. Akizungumza leo Novemba 20 2024 mjini Sumbawanga Nape Moses Nnauye…

Viongozi wa vijiji, mitaa na vitongoji ndio msingi wa maendeleo, tushiriki uchaguzi

Na Bwanku M Bwanku Nchi yetu kwa sasa inaendelea na michakato mbalimbali kuelekea kwenye tukio kubwa na muhimu la uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu, takribani wiki ikiwa imebaki. Tayari michakato mingi kuelekea tukio hili…