Latest Posts
Wasira apiga marufuku vyama vya upinzani kuwatumia vijana Mara kufanya vuruguru
*Amtaka Waziri Maliasili na Utalii Kufika haraka Serengeti Na Mwandishi Wetu, JamuriMedia, Mara Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ni marufuku kwa vyama upinzani kuwatumia vijana kutoka mkoani Mara kama nguvu kazi ya kufanya…
Bondia wa ngumi afariki wiki moja baada ya pambano
Bondia wa uzani wa Super-feather, John Cooney (28), amefariki dunia baada ya kushindwa na Nathan Howells wa Wales katika pambano lililofanyika Belfast Jumamosi iliyopita. Cooney, raia wa Ireland, alikumbwa na tatizo la kutokwa na damu kwenye ubongo na kufanyiwa upasuaji…
NFRA kuuza tani milioni moja ya mazao 2025/2026
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Wakala wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula nchini (NFRA) unatarajia kuuza takribani tani milioni moja za chakula kwa mwaka wa fedha wa 2025/ 2026 kupitia masoko yaliyopo kwenye nchi tofauti zenye mikataba ya kuuziana mazao…
RC Chalamila : Kulipa kodi ni lazima
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema suala la kulipa kodi ni lazima kwani inasaidia nchi kutengeneza na kuboresha miradi mbalimbali yenye kuleta maendeleo kwa taifa. Chalamila amesema hayo jana, jana wakati wa utoaji wa Tuzo kwa…
Aukana uraia wa Ufaransa ili kugombea urais Ivory Coast
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Credit Suisse, Tidjane Thiam, ameukana uraia wake wa Ufaransa ili kutimiza masharti ya kugombea urais wa Ivory Coast katika uchaguzi wa Oktoba mwaka huu. Thiam, 62, ambaye alichaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha upinzani PDCI…
Watu 50 wauawa katika shambulio la kuvizia Mali
Zaidi ya watu 50 wameuawa karibu na mji wa kaskazini-mashariki mwa Mali wa Gao siku ya Ijumaa baada ya washambuliaji waliokuwa na silaha kuvizia msafara uliokuwa ukilindwa na jeshi lake, amesema afisa wa eneo hilo na wakaazi. Shambulio hilo lilitokea…