Latest Posts
Urusi yaipa Korea Kaskazini mapipa milioni moja ya mafuta
Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open Source Centre, kikundi cha utafiti kisicho cha faida chenye makao yake makuu nchini Uingereza….
Netanyau aikosoa ICC kutoa warranty ya kukamatwa
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelaani uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita na Uhalifu (ICC) wa kutoa waranti ya kukamatwa kwake akisema ni “chuki” dhidi yake na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant. Alisema ICC inawashtumu…
Rais Mwinyi awasili uwanja wa ndege wa kimataifa akitokea Zimbambwe
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimia na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana…
NLD wazindua rasmi kampeni Handeni, Doyo atoa wito kufanya siasa za kistarabu
Na Oscar Assenga,Handeni Katibu Mkuu wa Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo amezindua rasmi kampeni za wagombea wa chama hicho kuelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa Kata ya Kwedukwazu wilayani Handeni huku akitoa wito kwa viongozi wa chama hicho…
Huduma za kisheria kusogezwa karibu na wananchi
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari ametembelea Jengo la Ofisi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali lililoko jijini Arusha tarehe 21 Novemba 20224. Jengo liko katika hatua ya ujenzi na likikamilika litasaidia kusogeza huduma za Sheria kwa wananchi pamoja na…
Bukombe wanataka maendeleo na maendeleo ni CCM – Dk Biteko
* Asema Vyama Vishindane kwa Sera na Utekelezaji wa Ahadi *WanaCCM Bukombe Waaswa Kuimarisha Ushirikiano * Azindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bukombe Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe,…