Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 16, 2023
Habari Mpya
Ofisi ya Rais yapongezwa kuipa ushirikiano Kamati ya Bunge
Jamhuri
Comments Off
on Ofisi ya Rais yapongezwa kuipa ushirikiano Kamati ya Bunge
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama akiongoza kikao kazi cha kamati yake na Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhusu Utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi hiyo (TGFA, eGA na Taasisi ya UONGOZI) kwa mwaka 2022/23.
Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakiwa katika kikao kazi cha kamati hiyo na Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilicholenga kuwasilisha Utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa taasisi zilizo chini ya Ofisi hiyo (TGFA, eGA na Taasisi ya UONGOZI) kwa mwaka 2022/23.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiwasilisha taarifa ya Utelezaji wa Mpango na Bajeti wa taasisi zilizo chini ya Ofisi yake (TGFA, eGA na Taasisi ya UONGOZI) kwa mwaka 2022/23 kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichofanyika jijini Dodoma.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa neno la shukrani kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria mara baada ya kumalizika kwa kikao kazi cha kamati hiyo kuhusu Utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo (TGFA, eGA na Taasisi ya UONGOZI) kwa mwaka 2022/23 kilichofanyika jijini Dodoma.
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Ndege za Serikali (TGFA), Cpt. Budodi Budodi akijibu moja ya hoja ya taasisi yake kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa kikao kazi cha kamati hiyo na Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhusu Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo (TGFA, eGA na Taasisi ya UONGOZI) kwa Mwaka 2022/23.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA), Mhandisi Benedict Ndomba akitoa ufafanuzi wa hoja za masuala ya serikali mtandao zilizowasilishwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa kikao kazi cha kamati hiyo na Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhusu Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo (TGFA, eGA na Taasisi ya UONGOZI) Kwa Mwaka 2022/23.
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI, Bw. Deogratias Usangira akijibu moja ya hoja ya Taasisi ya UONGOZI kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa kikao kazi cha kamati hiyo na Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhusu Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo (TGFA, eGA na Taasisi ya UONGOZI) kwa Mwaka 2022/23.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mashimba Ndaki akichangia hoja kuhusu serikali mtandao wakati wa kikao kazi cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria na viongozi pamoja na watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhusu Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo (TGFA, eGA na Taasisi ya UONGOZI) kwa Mwaka 2022/23.
Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka akitoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja iliyowasilishwa na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa kikao kazi cha kamati hiyo na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhusu Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo (TGFA, eGA na Taasisi ya UONGOZI) kwa Mwaka 2022/2
023
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi akitoa ufafanuzi wa moja ya hoja iliyowasilishwa na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria wakati wa kikao kazi cha kamati hiyo na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhusu Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo (TGFA, eGA na Taasisi ya UONGOZI) kwa Mwaka 2022/2
023
3.
Sehemu ya Wakurugenzi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika kikao kazi cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria na Watendaji wa ofisi hiyo kuhusu Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo (TGFA, eGA na Taasisi ya UONGOZI) kwa Mwaka 20
23
Post Views:
185
Previous Post
Muuguzi anayedaiwa kubaka mjamzito aachiwa huru
Next Post
Waislamu waipa tano Serikali suala la mtaala wa somo la dini ya kiislamu
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
Habari mpya
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia