Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 28, 2022
Siasa
Mwnyekiti CCM Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu CCM
Jamhuri
Comments Off
on Mwnyekiti CCM Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu CCM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe.Abrahaman Kinana(katikati) kabla ya kuanza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Chamwino Mkoani Dodoma(kulia) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Philip Mpango.[Picha na Ikulu] 28/10/2022.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifuatana Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Adalla Juma Sadala (kushoto)alipowasili Chamwino kushiriki Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo (katikati) Naibu Katibu Mkuu CCM Bara.[Picha na Ikulu] 28/10/2022.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mama Samia Suluhu Hassan (katikati) mara akiingia katika Ukumbi wa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika leo Chamwino Mkoani Dodoma.[Picha na Ikulu] 28/10/2022.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakiteta katika ukumbi wa Mikutano wa Chamwino Mkoani Dodoma kabla ya kuanza Kikao hicho leo (kulia) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Tulia Acson na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibae Mhe.Zubeir Ali Maulid(kushoto).[Picha na Ikulu] 28/10/2022.
Post Views:
221
Previous Post
IGP amwelekeza Kamishna Kaganda kutekeleza mambo sita makuu
Next Post
Timu ya mawaziri nane yashughulikia migogoro ya ardhi
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
Habari mpya
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia