Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
January 4, 2023
Habari Mpya
Mwinyi ashuhudia utiaji saini makubaliano ujenzi uwanja wa ndege wa Pemba
Jamhuri
Comments Off
on Mwinyi ashuhudia utiaji saini makubaliano ujenzi uwanja wa ndege wa Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wananchi na Viongozi katika hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania,iliyofanyika leo ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Bi.Fatma Khamis Rajab (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Nchini Brazil Leandro Motta (kushoto) hafla iliyofanyika leo ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar, katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Bi.Fatma Khamis Rajab (kulia) na Mkurugenzi Kampuni ya Mecco Tanzania Ndg.Nasser Abdulkadir Sheikh katika hafla iliyofanyika leo ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar, katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakishuhudia hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania iliyofanyika leo ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar ,katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Mwansheria Mkuu wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji(kushoto) akiwa na Mawaziri wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania, iliyofanyika leo ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Post Views:
242
Previous Post
EWURA yatangaza kuongezeka kwa bei ya dizeli
Next Post
Wizara ya Ardhi yakusanya bil.90/- za kodi ya pango la ardhi
Rais Dkt. Samia afungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar
Trump aendelea kutishia kudhibiti Greenland na rasi ya Panama
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Marekani Jimmy Carter kuagwa Januari 9
Umoja wa Ulaya waituhumu Urusi kutumia gesi kama silaha
Urusi, Ukraine zaendelea kukabiliana vikali Kursk
Habari mpya
Rais Dkt. Samia afungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar
Trump aendelea kutishia kudhibiti Greenland na rasi ya Panama
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Marekani Jimmy Carter kuagwa Januari 9
Umoja wa Ulaya waituhumu Urusi kutumia gesi kama silaha
Urusi, Ukraine zaendelea kukabiliana vikali Kursk
Naibu Waziri Kundo aongoza kikao kazi na watumishi sekta ya maji Pwani
Juma Burhan: Mifumo ya kidijitali itaongeza uwazi, uwajibikaji
Marekani yaishutumu Urusi kwa kufadhili vita Sudan
Dk Nchemba afungua mafunzo ya Kamati ya PAC
Tanzania kushirikiana na Italia kuendeleza sekta ya madini
Idadi ya watu waliofariki tetemeko la ardhi Tibet yafikia 95
MSD yapongezwa kwa maboresho ya huduma mkoani Kagera
Rais Samia azindua hoteli ya kitalii iliyopo katika Kisiwa cha Bawe Zanzibar
Ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu, vyama andaeni sera
Mrithi wa Kinana kupatikana Januari 19