Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji saini na Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika  leo Ikulu Jijini Zanzibar,ambapo saini zimetiwa na  Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Suleiman Masoud Makame (kulia) Waziri wa Nishati SMT Januari Yussuf Makamba .
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia  Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame (kulia) Waziri wa Nishati SMT Mhe.Januari Yussuf Makamba wakibadilishana hati za utiaji saini Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar  hafla   iliyofanyika  leo Ikulu Jijini Zanzibar,ambapo saini zimetiwa
Rais   wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia  Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Suleiman Masoud Makame (kulia) akipokea data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar kutoka kwa Waziri wa Nishati SMT Mhe.Januari Yussuf Makamba wakati wa Makabidhiano ya data   za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina  ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar   hafla   iliyofanyika  leo Ikulu Jijini Zanzibar.
Watendaji kutoka Taasisi za Serikali za SMT na SMZ wakimsikiliza   Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza  katika hafla ya utiaji saini Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar   hafla iliyofanyika  leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa na  akizungumza na viongozi pamoja na wananchi mara baada ya hafla ya utiaji saini na Makabidhiano ya data za Utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika  leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.