Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea ripoti ya mapendekezo ya Kamati Maalum iliyojadili na kuchambua maoni ya washiriki wa Mkutano  wa Wadau wa Demokrasia ya 
Vyama vingi vya Siasa  kutoka kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Dkt.Ali Ahmed Uki (kulia)  hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022.
Baadhi ya Waalikwa kutoka taasisi mbali mbali waliofadhili na kufanikisha 
mkutano wa  
Wadau wa Demokrasia ya 
Vyama vingi vya Siasa,wakiwa katika  hafla ya kukabidhi ripoti ya kamati maalun iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe.Vuai Ali Vuai kutoka CCM,
mjumbe wa Kamati Maalum ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa  
Wadau wa Demokrasia ya 
Vyama vingi vya Siasa,katika  hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe.Jussa Ismail Ladhu kutoka ACT Wazalendo,
mjumbe wa Kamati Maalum ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa  
Wadau wa Demokrasia ya 
Vyama vingi vya Siasa,katika  hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi 
 akimkabidhi cheti Mhe.Balozi Dkt. Amina Salu Ali Makamu Mwenyekiti wa Kamati Maalum (kikosi kazi) katika hafla ya kukabidi ripoti ya mapendekezo ya Kamati hiyo iliyojadili na kuchambua maoni ya washiriki wa Mkutano  wa Wadau wa Demokrasia ya 
Vyama vingi vya Siasa  kutoka kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Dkt.Ali Ahmed Uki (kulia)  hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2022.
.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Mhe. Rukia Kassim Ahmed (kutoka CUF),