Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar kuhudhuria maziko ya Marehemu Askofu Mstafu wa Kanisa la  Anglikana  Zanzibar John Ramadhan, yaliyofanyika leo 17-9-2022, katika viwanja vya kanisa hilo Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihudhuria maziko ya Marehemu Askofu Mstafu wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar John Ramadhan, yaliofanyika katika Kanisa la Mkunazini leo 17-9-2022 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu Mhe. Georg Mkuchika na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Shaban.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Askofu Mstafu wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar leo 17-9-2022. Maziko yaliyofanyika katika viwanja vya Kanisa la Anglikana Mkunazini Wilaya ya Mjini Ungu