Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akitoa maelekezo kwa timu ya Itifaki wakati wa maandalizi ya ibada maalum ya Maombolezo na kuaga Mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Lowassa iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Usharika wa Azania Front tarehe 14 Februari, 2024 Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafamilia ya Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Lowassa wakiwa ibadani wakati wa Maombolezo na kuaga Mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu huyo iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Usharika wa Azania Front tarehe 14 Februari, 2024 Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waombolezaji walioshiriki ibada maalumu ya maombolezo na kuaga mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Lowassa iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Usharika wa Azania Front tarehe 14 Februari, 2024 Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Viongozi wa Kanisa la KKKT Usharika wa Azania Front wakiingia kanisa kwa ajili ya ibada maalum ya Maombolezo na Kuaga Mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Lowassa.
Mwili wa hayati Lowassa waagwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ushaurika wa Azania Front Da es Salaam
Jamhuri
Comments Off on Mwili wa hayati Lowassa waagwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ushaurika wa Azania Front Da es Salaam