Msafara wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa ukitoka Korogwe mjini kuelekea Kata ya Kwagunda Jimbo la Korogwe Vijijini kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za udiwani wa Kata hiyo ambapo Dkt Mndolwa alikuwa mgeni ramsi gari yaa mbele inayongoza msafara huo ni ya Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu
Msafara wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa ukiwasili eneo la Kijiji cha Mkokola Kata ya Kwagunda ambapo kulifanyika uzinduzi wa kampeni za udiwani wa kata hiyo baada ya aliyekuwa diwani wa kata hiyo kufariki dunia
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa akisalimiana na wananchi wa Kijiji cha Mkokola Kata ya Kwagunda mara baada ya kuwasili kuzindua kampeni za udiwani kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Korogwe Vijijini
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa akisaliana na wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kampeni hizo mara baada ya kuwasili kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Allan Kingazi
Meza kuu katikati ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa akiangalia vikundi vilivyokuwa vikitoa burudani wakati wa uzinduzi huo kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Korogwe Mjini,Charles Emanuel na Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu na MNEC na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu na MNEC na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa akiangalia taarifa mbalimbali kabla ya kuanza kwa uzinduzi wa kampeni hizo
Sehemu ya wana CCM na wananchi wa Kijiji cha Mkokola wakifuatilia uzinduzi huo aliyevaa shati katika ni Diwani wa Kata ya Majengo(CCM) Mustapha
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu na MNEC na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa kushoto akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa wakati wa uzinduzi huo katika ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Korogwe mjini,Charles Emanuel
Vikundi vya burudani vikiendelea kutoa burudaani wakati wa uzinduzi huo
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa mbele akiwa na Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini na MNEC na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu wakitunza kikundi cha maigizo wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Allan Kingazi
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini na MNEC na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu wakitunza kikundi cha maigizo wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo
Katibu wa CCM Korogwe mjini,Ally Issa akitunza kikundi cha maigizo katika uizunduzi huo
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa wa tatu kutoka kushoto akifuatilia matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi huo wa pili ni Mwenyekiti wa CCM Korogwe mjini,Emanuel Charles na Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu
Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Allan Kingazi kushoto akicheza wimbo na Msanii Dkt Njau wakati wa uzunduzi wa kampeni hizo
Msanii wa Singeli akitumbuiza katika kampeni hizo
|
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa akizugumza katika uzinduzi wa kampeni hizo ambapo aliwataka wananchi aliwataka kumchangua mgombea wa CCM kwani anafahamu changamoto zao na hivyo itakuwa rahisi kuweza kuzipatia ufumbuzi |
|
Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Allan Kingazi akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo akiwataka wananchi kumpa kura za kishindo mgombea wa CCM kama walivyofanya kwenye chaguzi zilizopita ili waweze kushirikiana na viongozi wengine kuwapa maendeleo |
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu (MNEC) na Mjumbe wa baraza Kuu la wazazi Taifa akizungumza katika uzinduzi wa kampeni hizo ambapo aliwataka wananchi kumuunga mkono mgombea wa CCM kwa kumpa kura za kishindo
Mwenyekiti wa CCM Korogwe mjini,Emanuel Charles akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akiinguruma katika kampeni hizo ambapo aliwataka wananchi kumchangua mgombe wa CCM ili waweze kushirikiana nae kuwapa maendeleo
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akiinguruma katika kampeni hizo ambapo aliwataka wananchi kumchangua mgombe wa CCM ili waweze kushirikiana nae kuwapa maendeleo
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akiinguruma katika kampeni hizo ambapo aliwataka wananchi kumchangua mgombe wa CCM ili waweze kushirikiana nae kuwapa maendeleo
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu (MNEC) na Mjumbe wa baraza Kuu la wazazi Taifa kushoto akimnada mgombea udiwani kata ya Kwagunda
Diwani wa Kata ya Majengo (CCM) Mustapha akiwasalimia wananchi katika uzinduzi huo
Msanii Dkt Njau akisailimia wananchi
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa akimnadi Mgombea udiwani wa Kata ya Kwagunda Saidi Shenkawa wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa kulia akiwa na Katibu wa CCM mkoa wa Tanga,Allan Kingazi kushoto wakiondoka eneo la mkutano mara baada ya kumalizika(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
SOURCE: (MICHUZI mATUKIO BLOG)
Post Views: 240