Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
January 17, 2024
Habari Mpya
Mwenyekiti wa CCM afanya ziara ya kichama kukagua miradi ya chama Mkoa wa Kaskazini Unguja
Jamhuri
Comments Off
on Mwenyekiti wa CCM afanya ziara ya kichama kukagua miradi ya chama Mkoa wa Kaskazini Unguja
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akitembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kaskazini Unguja tarehe 17 Januari, 2024.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Ufunguzi wa Tawi la CCM Chaani Masingini Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 17 Januari, 2024.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Chuo cha Wajasiriamali Wanawake (UWT) Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 17 Januari, 2024.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa Chaani mara baada ya kuweka Jiwe la Ufunguzi wa Tawi la Chama cha Mapinduzi (CCM) Chaani Masingini Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 17 Januari, 2024.
Post Views:
246
Previous Post
Dk Feleshi : Mawakili wa Serikali kila mmoja atimize wajibu wake
Next Post
Taasisi za umma Kongwa zahimizwa kuwa na mipango ya matumizi ya ardhi
Rais Samia azungumza na Balozi wa Japan hapa nchini
Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu NMB
Rais Samia aipongeza Zanzibar Heroes
Mwanamuziki wa injili Rehema Simfukwe atoboa siri sababu kutunga wimbo wa Chanzo
Watoto mapacha wamuua mama yao mzazi
Habari mpya
Rais Samia azungumza na Balozi wa Japan hapa nchini
Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu NMB
Rais Samia aipongeza Zanzibar Heroes
Mwanamuziki wa injili Rehema Simfukwe atoboa siri sababu kutunga wimbo wa Chanzo
Watoto mapacha wamuua mama yao mzazi
Waliokaidi ukaguzi magari ya shule wakamatwa Arusha
Bilioni 5 kujenga soko la kimataifa Missenyi
Baba atuhumiwa kuua watoto wawili
Wazima moto wapambana kuzuia moto mkubwa Los Angeles
-Tanzania ipo tayari kupokea wakuu wa nchi Afrika katika mkutano wa Nishati wa Mision 300′
Matumizi ya Baruti yaongezeka nchini
Wananchi wampongeza Rais Samia kufikisha umeme vituo vya afya vijijini
Simba yazidi kuchanja mbuga
Balozi Nchimbi amjulia hali Mzee Mangula
Maria Sarungi atekwa Nairobi