Mwenyekiti CCM Rais Samia aongoza kikao cha Halmashauri Kuu Taifa Dodoma
JamhuriComments Off on Mwenyekiti CCM Rais Samia aongoza kikao cha Halmashauri Kuu Taifa Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM White House Jijini Dodoma tarehe 06 Desemba, 2022.