Kwa wiki mbili zilizopita gazeti hili la JAMHURI, limechapisha taarifa za upungufu mkubwa na matatizo mbalimbali yaliyoko katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, zamani kikijulikana kama Chuo cha Siasa Kivukoni.

 Miongozi mwa habari zilizochapishwa na JAMHURI, ni pamoja na uongozi wa chuo kukiuka taratibu za ajira kwa wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2015.

 Habari hizo zinaonyesha kuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere uongozi umekiuka sheria na kanuni zilizoanzisha Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) inayomtaka mwalimu wa kufundisha Chuo cha Elimu ya Juu kuwa na GPA inayoanzia wastani wa 3.5.

 Menejimenti imetoa taarifa ya kukanusha habari hizo na taarifa nyingine zinazoonyesha upungufu wa kiutendaji huku ikidai gazeti la JAMHURI limechapisha habari za uongo. Habari hizo zilikuwa zinaonyesha kuwa kwa kuwa na walimu wasio na sifa, ubora wa elimu inayotolewa ni wa kutiliwa shaka.

 Katika kuthibitisha kuwa habari hizo zilikuwa za kweli, Gazeti la JAMHURI, linaloanzia wanapoishia wengine, limekubali kuchapisha tangazo la Chuo cha Mwalimu Nyerere linalokanusha habari hizo, na hapa chini linachapisha orodha ya walimu wanaofanya kazi kama walimu wakati hawana sifa, kitu ambacho Chuo kinatumia nguvu kubwa kukanusha ukweli na kuishia kuathiri wanafunzi wanaosoma chuoni hapo. Endelea…

S/NO

JINA

GPA

 

1

Asfa  Masasi

3.3

 

2

Ambaksye Robert Mwasunga

3.4

 

3

Athanas Y. Mahenge

3.3

 

4

Benateta S.Mashala

3.46

 

5

Burin Musa Hassan

3.3

 

6

Daniel Andrew Haule

3.4

 

7

Eliah C Mwakalonge

3.0

 

8

Emakulata Livingstoni Kisanga

3.1

 

9

Ernesto Elias Ngwembe

3.1

 

10

Furaha Maginga

3.2

 

11

Isack Haroun Waitara

3.0

 

12

Joram Elly Nkya

3.1

 

13

Joseph J.Nchimbi

3.0

 

14

Julieth Kitali

3.2

 

15

Lambert A. Rwegoshora

3.3

 

16

Levina Peter

3.3

 

17

Mwachenga Singa

3.1

 

18

Mwanamrisho Suleman

3.24

 

19

Petro Pareso

3.3

 

20

Samweli Nsangalufu

3.1

Z’bar Mkuu wa Idara ya Education