MTANGAZAJI WA UHURU FM, LIMONGA JUSTINE LIMONGA AFARIKI DUNIA
JamhuriComments Off on MTANGAZAJI WA UHURU FM, LIMONGA JUSTINE LIMONGA AFARIKI DUNIA
Limonga Justin Limonga wa pili kutoka kushoto enzi za uhai wake
Tanzia: Mtangazaji wa kipindi cha Michezo cha Uhuru FM Justin Limonga amefariki Dunia Leo asubuhi katika hospital ya TMJ alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. R.I.P Mpendwa wetu Limonga