Msafara wa kiongozi ACT Wazalendo Dorothy akiwasili Lindi kufunga kampeni
JamhuriComments Off on Msafara wa kiongozi ACT Wazalendo Dorothy akiwasili Lindi kufunga kampeni
Msafara wa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu akiambatana na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Isihaka Mchinjita wakiwasili mkoa wa Lindi kufunga kampenMjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Jimbo la Tunduru Kaskazini Ndugu Mohamed Kapopo ambaye pia Mgombea wa Uemyekiti wa Kitongoji cha Maholela amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi. Polisi walimkamata kwenye zoezi la kula kiapo cha uwakala na hawajakubali kumpa nafasi ya kuapishwa. Maneno anayotuhumiwa kuwa ni ya uchochezi Ndugu Kapopo ni kuwa mwizi yoyote wa kura atashughulikiwa.