Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda akipokea Tuzo iliyotolewa na Chuo Kikuu cha Iringa kutambua mchango wake katika mafanikio na ukuaji wa Chuo hicho kutoka kwa Mkuu wa Utumishi Jeshini Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti aliyeipokea kwa niaba yake.