Ufungaji wa Mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam .[Picha na Ikulu] 23/08/2023. .

mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliufunga mkutano huo
.[Picha na Ikulu] 23/08/2023.

wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam wakifuatilia kwa makini Hotua ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo
.[Picha na Ikulu] 23/08/2023.

Baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao hapa Tanzania wakiwa katika ufungaji wa Mkutano
mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliufunga mkutano huo
.[Picha na Ikulu] 23/08/2023.

mkutano wa
siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
uliohudhuriwa na Viongozi na wadau mbali mbali.[Picha na Ikulu] 23/08/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na
Mwenyekiti wa TCD Mhe.Prof.Ibrahim Lipumba,baada ya kuufunga
mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
.[Picha na Ikulu] 23/08/2023.