Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 29, 2022
Kimataifa
Mkutano wa 44 wa Umoja wa Mashirika ya Bima Ukanda wa Mashariki
Jamhuri
Comments Off
on Mkutano wa 44 wa Umoja wa Mashirika ya Bima Ukanda wa Mashariki
R
ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Kamishna wa Bima Tanzania Dkt. Baghayo Abdalla Saqware (kulia) mara alipowasili Hoteli ya Madinat Al Bahr leo kufungua Mkutano wa 44 wa Umoja wa Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika.[Picha na Ikulu] 29/08/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya Umoja wa Makampuni ya Bima Mashariki na Kusini mwa Afrika Nd.Patt Karuihe -Matin (OESAI),(kushoto) na Kamishna wa Bima Tanzania Dkt.Baghayo Abdalla Saqware,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.Saada Mkuya Salum (wa tatu kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,na Bi. Rose Wanda Katibu Mkuu Umoja wa Makampuni ya Bima Mashariki na Kusini mwa Afrika (OESAI) wakisimama wimbo wa Taifa ukipigwa katika ufunguzi wa Mkutano wa 44 wa Umoja wa Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika,katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel leo.[Picha na Ikulu] 29/08/2022
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 44 wa Umoja wa Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika,wakifuatilia kwa makini Hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na washiriki mbali mbali wa Mkutano wa 44 wa Umoja wa Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika,(hawapo pichani) uliofanyika leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel,alipoufungua rasmi.[Picha na Ikulu]
Post Views:
197
Previous Post
LIVE:Mkutano wa NHIF na wadau Geita
Next Post
Tanzania na Qatar zajadili ajira wakati wa Kombe la Dunia
Amuua mpenzi wake, naye ajiua kwa kujinyonga
Prince Rahim Al-Hussaini ateuliwa kuwa Aga Khan mpya
NCT yaendesha mafunzo jumuishi kwa vitendo kwa wanafunzi wa astashahada
LHRC yashinda kesi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
TMA,EMEDO waongeza nguvu usambazaji taarifa za hali ya hewa ziwa Victoria
Habari mpya
Amuua mpenzi wake, naye ajiua kwa kujinyonga
Prince Rahim Al-Hussaini ateuliwa kuwa Aga Khan mpya
NCT yaendesha mafunzo jumuishi kwa vitendo kwa wanafunzi wa astashahada
LHRC yashinda kesi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
TMA,EMEDO waongeza nguvu usambazaji taarifa za hali ya hewa ziwa Victoria
Rais Samia aongoza Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, akisisitiza maendeleo na uongozi bora
Samia, Mwinyi watuma salamu za rambirambi kifo cha Aga Khan IV
DRC: Tangazo la M23 la usitishaji vita sio la kuaminika
Shirika la Posta la Marekani lasimamisha usafirishaji mizigo ya China
Wananchi watakiwa kutumia fursa ya miradi kuunganisha umeme – Kapinga
Mtukufu Aga Khan IV afariki dunia, urithi wake utadumu milele
CAG Kichere aipa heko TANROADS ujenzi uwanja wa ndege Msalato
Mvua yapoteza miundombinu Chuo cha Sauti Mtwara
Trump apendekeza Marekani ichukue udhibiti wa Ukanda wa Gaza
Mahakama ya Afrika yajadili masuala ya jinsia katika utoaji wa fidia