Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
January 30, 2023
Habari Mpya
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu azungumza na wanahabari, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Jamhuri
Comments Off
on Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu azungumza na wanahabari, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Picha namba 1-7. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na kuwaelezea Waandishi wa Habari kuhusiana na Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya Davos nchini Uswizi tarehe 16-20 Januari,2023 pamoja na Dakar nchini Senegal tarehe 25-27 Januari, 2023 katika Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Januari, 2023.
Waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano uliohusu mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliyofanya Davos nchini Uswizi (tarehe 16-20 Januari,2023) pamoja na Dakar nchini Senegal tarehe 25-27 Januari, 2023. Mkutano huo wa waandishi wa habari uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Januari, 2023.
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya Dakar nchini Senegal tarehe 25-27 Januari, 2023 katika mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Januari, 2023.
Post Views:
347
Previous Post
CCM haitaacha kuhoji watendaji wa Serikali
Next Post
Rais Samia ateta na viongozi wa taasisi mbalimbali Ikuku Dar
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
Habari mpya
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa
Wizara ya Elimu mbioni kuzindua mitaala mipya iliyoboreshwa
Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu
REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba
Mahakama ya Juu Marekani yakataa ombi la Trump la kusitisha hukumu dhidi yake
Dk Gwajima aagiza kuundwa kamati za ulinzi wa watoro
Jokate awapa tano vijana kwa maandalizi mazuri ya Mkutano Mkuu CCM
Polisi wathibitisha kumshikilia Dk Silaa
Waziri Kabudi apokea taarifa ya vazi la taifa
Mkuu wa jeshi achaguliwa kuwa rais wa Lebanon