Mkulima wa pamba katika kijiji cha Mondo wilayani Misungwi, Hoja Ngole akitumia mkokoteni wa kokotwa na ng’ombe kupeleka pamba yake kuuza kwenye Chama cha Ushirika wa Mwaniko katika kijiji cha Mondo Juni 11, 2018. Uuzaji wa pamba wilayani Misungwi unaendelea vizuri na kilo moja inauzwa kwa sh. 1100/=. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Post Views: 276