Mbunge wa Ukonga akagua ujenzi wa barabara Mombasa -Mazizini
JamhuriComments Off on Mbunge wa Ukonga akagua ujenzi wa barabara Mombasa -Mazizini
Mbunge wa Jimbo la Ukonga,Jerry Slaa pamoja na viongozi mbalimbali wa Kata ya Ukonga katika Jimbo la Ukonga wakikagua ujenzi wa barabara itokayo Mombasa hadi kwa Mahita yenye urefu wa mita 600 inayojengwa kwa kiwango cha lami na TARURA jijini Dar es Salaam.Mpigapicha WetuMbunge wa Jimbo la Ukonga,Jerry Slaa (kulia) na diwani wa Ukonga Bendera Ramadhani (katikati) wakikagua ujenzi wa barabara unaoendelea kutoka Mombasa kuelekea kwa Mhita.