JamhuriComments Off on Mbowe ateta na Balozi wa Uingereza nchini
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania David Concar ,kwenye makazi ya Balozi huyo jijini Dar es Salaam jana.Mpigapicha Wetu