JamhuriComments Off on Matukio Waziri Mkuu akiwa bungeni Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, bungeni jijini DodomaSpika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akiingia bungeni jijini DodomaWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Hai, Saashisha Mafue, bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akislimiana na Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay, bungeni jijini Dodoma