
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stergomena Tax, Bungeni jijini Dodoma Aprili 08, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Musukuma, Bungeni jijini Dodoma Aprili 08, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
