Wajumbe wote wa kikao hiki ni 1928, wajumbe waliopata dharura ni 4 pekee, hivyo wajumbe waliodhuria ni 1924 ndani ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Conventional Centre.

Hatua hii inadhihirisha uimara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa na idadi kubwa ya wanachama wenye mshikamano na ari ya kuimarisha maendeleo ya chama na taifa kwa ujumla.