Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
September 7, 2022
Kimataifa
Masauni kikao cha kamati ya Bunge Dodoma
Jamhuri
Comments Off
on Masauni kikao cha kamati ya Bunge Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akifurahia jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camilius Wambura, kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Jumanne Sagini, Katibu Mkuu, Christopher Kadio, (wapili kushoto), na Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi.
Naibu Kamishna wa Magereza (DCP), Jeremiah Katungu, akijitambulisha katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Naibu Waziri, Jumanne Sagini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Katikati ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Jumanne Sagini na Kulia ni Katibu Mkuu, Christopher Kadi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camilius Wambura, kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma
Post Views:
207
Previous Post
Watanzania wamehamasika kushiriki Tamasha la JAMAFEST
Next Post
Ruvuma yafanikiwa kutoa chanjo ya Polio kwa asilimia 122.2
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
Habari mpya
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia