Bondia maarufu nchini Mandonga ametumia dakika 1 na sekunde 56 kumchakaza mpinzani wake Musa Omary usiku huu katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam kwenye kilele cha Tamasha la kihistoria la Sensabika