Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania leo Julai 21, 2022 imemfungia msemaji wa Yanga SC, Haji S.Manara kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa muda miaka miwili pamoja na kulipa faini ya sh.milioni 20.
Adhabu imetolewa kwa mujibu wa kifungu 73.5 na 73.6