Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
April 7, 2023
Kitaifa
Makamu wa Rais katika kumbukizi ya miaka 51 ya Sheikh Karume
Jamhuri
Comments Off
on Makamu wa Rais katika kumbukizi ya miaka 51 ya Sheikh Karume
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume katika kumbukizi ya miaka 51 ya kifo chake leo tarehe 07 Aprili 2023 iliofanyika Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi – Kisiwandui Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwaajili ya kuungana na viongozi na wananchi mbalimbali katika kumbukizi ya Miaka 51 ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliofanyika Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi – Kisiwandui Zanzibar leo tarehe 07 Aprili 2023
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi – Kisiwandui Zanzibar kushiriki dua ya kumuombea aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume leo tarehe 07 Aprili 2023
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja viongozi mbalimbali wa Serikali, Dini na Chama katika dua ya pamoja ya kumuombea aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume katika kumbukizi ya miaka 51 ya kifo chake leo tarehe 07 Aprili 2023 iliofanyika Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi – Kisiwandui Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, viongozi mbalimbali pamoja na familia ya Hayati Sheikh Abeid Amani Karume wakiomba dua mbele ya kaburi la Hayati Sheikh Abeid Amani Karume katika kumbukizi ya miaka 51 ya kifo chake leo tarehe 07 Aprili 2023 iliofanyika Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi – Kisiwandui Zanzibar.
Post Views:
189
Previous Post
Spika Tulia atoa maagizo kwa Serikali
Next Post
Wafanyabiashara watakiwa kufuata taratibu kuuza mifugo
TEF : Tunasikitishwa na Waziri wa Habari Jerry Silaa
Wataalam NIRC waaswa kuzingatia sheria ya manunuzi
Jukwaa la Wahariri lakerwa na mwenendo wa Waziri Silaa
Wadau wapongeza sera ya kuwawezesha wazawa kiuchumi
Rais Samia apeleka neema Tabora
Habari mpya
TEF : Tunasikitishwa na Waziri wa Habari Jerry Silaa
Wataalam NIRC waaswa kuzingatia sheria ya manunuzi
Jukwaa la Wahariri lakerwa na mwenendo wa Waziri Silaa
Wadau wapongeza sera ya kuwawezesha wazawa kiuchumi
Rais Samia apeleka neema Tabora
Israel yaendeleza mashambulizi katika mji wa Beirut
Trump hatakuwa katika Ikulu ya White House kwa siku 74
Makalla ampongeza Lissu
Bongo Movie kugusa jamii ya saratani
Viongozi mbalimbali duniani wampongeza Trump
Auawa kwa kukutwa na aliyekuwa mke wa mtu
CCM: Uchaguzi Serikali za Mitaa kutumia 4R za Rais Samia
Mkuu wa Jeshi Nigeria afariki
Trump ashinda uchaguzi Marekani
TRC : Kusimama kwa treni ya mchongoko ni hujuma